Selfika na JF: Snap it. Show it

Sipati picha!!!!!!! kama sio mzoefu na mwendo unabadilika kabisa yani wanakuona Kabisaaaa huyu heels kavamia
!
 
nimecheka jmn
Eti mhimbili kitengo cha mifupa!
Pole
Mi sipendi viatu vya chini
Kwenye event yyt, church, navaa high heels!
Except kwenye mizunguko tu ya kawaida
Yani mm nivae hta kwa dakika 5 utacheka ufe
niliwahi letewaga zawadi mda kidogo nikavaa kwenye sherehe mbna nilishika mkonon kabla sherehe haijaisha
 
Heels zinapendeza mno binafsi napenda nizikivaalia na kigauni kifupi

Zisiwe na muundo huo hapo tu maana zinabana
ankle ile mbayaView attachment 2177886
Okay, mi pia style hii ya wazi siipendi,napenda vyenye soli/kisigino cha hivyo lkn kiwe cha kufunika!
Napenda viatu vya kufunika zaidi hasa vya style hii!
Lkn pia inategemea nimevaa nguo gani, style,rangi ,nk! Sbb style ya viatu vurefu pia ziko tofauti!
 
umenouga!! Zinakutoa kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…