Selfika na JF: Snap it. Show it

Junia acha usimpige mgeni
We junia acha simu ya mgeni


Junia ametoka amevaa chupi ya mama yake kichwani..
Baba yake anachukua huku anamwambia wee Junia bwana acha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni Uzi Fulani wa chizimaarifa..nilicheka nilitaka kuzimia.
 
[emoji16]Et Junia wew usinipige na begi nitakunyima garilako lile usichezee jamani Junia usimkaripie atalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kudadek
Anampiga mgeni wanasema junia ndivyo alivyo
Anamwambia mgeni kwamba anadowea chakula,wazazi wanasema we Junia Jamani


Junia analilia simu ya mgeni,mama yake anamwambia mgeni Mpe tu
Mara Junia anajitupa chini Kwa hasira!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka duh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unaweza kuupata boss unitag nimsome junya [emoji38].
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430]

Huo uzi ni wa kuutafuta niupitie[emoji28].
 
Dullah anaendelea tu kutupia wakubwa vitu
Kabisa na ana tabia ya kunyonya vidole kuna jirani yake mmoja anamtoaga mkono. Mama yake anadai huyo jirani hampendi mwanae na anamuonea tu kila muda.

Mwanzo sikuwa naelewa ila baada ya kwenda mara kadhaa lile eneo ndio nikajua sababu lakini yote hyo ni katika kurekebisha.
 
Akina Junia hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…