Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ nitamfanyaje kwani mjuukuu... sema mjukuu ana kitu flani.. hivi.. atmosphere haitokuwa salama salimini acha niendelee kubaki zizini kwanguHajatoa, babu hawez ruhusu umfanyie hivyo mjukuu wake
Kulala kistaarabu! Hauna ka picha ka mfano!![emoji849][emoji849][emoji12][emoji12][emoji12]!!??Unatakiwa kulala kistaarabu jamani[emoji28]
Ndio nagoogle hapa, nikizipata nitatupiamo humuπKulala kistaarabu! Hauna ka picha ka mfano!![emoji849][emoji849][emoji12][emoji12][emoji12]!!??
Daah umefanya maamuzi ya msingi sana, hata na mimi umeniokoa hapo kwa namna flaniππππ nitamfanyaje kwani mjuukuu... sema mjukuu ana kitu flani.. hivi.. atmosphere haitokuwa salama salimini acha niendelee kubaki zizini kwangu
Hahaa asante kwa salamuNakuona
Uko na babu na mjomba
Salamu zenu π₯°π€
πππMideko Mideko unachonifanyia mideko!! Naona ushamaliza kulike posts za 2019 sasa upo za 2020[emoji12][emoji12][emoji12]!!View attachment 2175236
ππππππππππ!! Asee Kumbe hadi 2020 bado nilikua na mzee wa miongozo!!!!!πππππ
Anne please nisije changanya kemikoz mie mkasikia mwalimu aunguza maabara kuendekeza mitandao ya kijamii nacheka kama chizi hapa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]!
View attachment 2175075
Sijambo mkuu...! Tupo tunapambana na vijana hapa!Mwalimu wa chemistry hujambo
Nilisema Mimi boss ledi ni kichwaGrahams babu karibu utusaidie kuwashauri hawa vitukuu wako sijui wanakwama wapi hapa naona wanataka kutuaibisha matokeo ya NECTA form 6 mwaka huu!
Mock wamefeli balaaaa sijui NECTA watatoboa Mungu wangu [emoji134][emoji134][emoji134]!View attachment 2175227
Sijambo mkuu...! Tupo tunapambana na vijana hapa!
Gallius nakuona nakuona . please Vijana wametuaibisha Mock msaada kuwashauri wamebakiza kama mwezi mmoja tu!!
Vijana wasumbufu sana niko nasahihisha madaftari hapa, yaani watoto ukiwadundisha darasani wanaonekana wameelewa ukiwaletea test unashangaa majibu yao.
Leo kila ambaye anachezea below ya 50 ni viboko kuwakumbusha majukumu yao
Ukitoa test hapo unashangaaa hawa ndio "ndioooo" kweli...Yani tabu tupu hawa watoto!! Mbayaaaaaa zaidi unawauliza mmeelewa ndiiiiiooooo areas that you more clarification noooooo!!!
kwenye mitihani sasa ngachoka!!
Yani sayansi advance haitaki mbwembwe kabisa wakileta ujinga watatoka na zero!!!!!!Ni somo gani wameanguka sana, jaribu kwa muda uliobaki wafanye mazoezi ya past papers mara nyingi NECTA ni wavivu wa kutunga maswali tena ukipata past papers za miaka ya 70,80 na 90 bila shaka watapata maswali baadhi humo.
Ndio mbinu ninayotumia kwa vijana wa sayansi.
Yani tabu tupu hawa watoto!! Mbayaaaaaa zaidi unawauliza mmeelewa ndiiiiiooooo areas that you more clarification noooooo!!!
kwenye mitihani sasa ngachoka!!