Watakua Salama tu relax! Wee wapenda kuona wajukuu zako wanadodea nyumbani eehhh!!??? Acha watest mitambo kwanza!π!Afadhali kunitoa hofu, ngoja niwaulize wenzako kama wako salama, Nina wasiwasi na huyu kijana 9.8ms squared
Ndio nashangaa ujue!!!! maisha ndio hayahaya let them enjoy buana!Babu nina wavu ujue π
Please usiwatese wajukuu zangu huko, nimesikia unaruka mieleka nyumbani kwako, usiwafanyie hivyo wajukuu zangu π€ͺπ€ͺπ€ͺππππ.. Wapo salama kabisaa.. wanakula mema mazuri mazuri tu
πππ wivu tena kwa mjuukuu.. au kuna namna ingine.. una maslahi mapana zaidi.. nitawahoji wajukuu zako kwa kina aiseeBabu nina wavu ujue π
πππ wanakula mieleke iliyo starahabika tu.. sio mikali sana kama 619Please usiwatese wajukuu zangu huko, nimesikia unaruka mieleka nyumbani kwako, usiwafanyie hivyo wajukuu zangu π€ͺπ€ͺπ€ͺπ
Una maanisha practical?Acha watest mitambo kwanza!π!
Wanakula vitu vya kisukumaaa πππUna maanisha practical?
Over my dead body sitaruhusuπ€ͺ
Lazima niwe na wivu naoπππ wivu tena kwa mjuukuu.. au kuna namna ingine.. una maslahi mapana zaidi.. nitawahoji wajukuu zako kwa kina aisee
Safi sana[emoji3590] madam kemiaEeh tichaz aaa roli modoz Mdogo wangu!! [emoji12][emoji12][emoji12]!
π€£π€£πππ wivu tena kwa mjuukuu.. au kuna namna ingine.. una maslahi mapana zaidi.. nitawahoji wajukuu zako kwa kina aisee
Hata Depal una muonea wivu ππLazima niwe na wivu nao
Inaonekana kuna zaidi ya ubabuuu.. kuna kitu deep zaidi hapo π¬π¬π€£π€£
WeeeeInaonekana kuna zaidi ya ubabuuu.. kuna kitu deep zaidi hapo π¬π¬
Babuu achemshi mayai kweli na kuyala hapo nyumbani π·ββοΈπ·ββοΈWeeee
Emu nidokezee
$ 350,000 za kubumba labdaa...
[emoji23][emoji23]$ 350,000 za kubumba labdaa...
Umeona eeeh! mashabiki wa simba wapo kama kingwendu ngwendulile π¬π¬π¬π¬π¬[emoji23][emoji23]
Wamefanyaje tena hao mashabiki wa simba??Umeona eeeh! mashabiki wa simba wapo kama kingwendu ngwendulile [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
wamefumania wavu.. wanatupigia makeleleee kama wao ndio wa kwanza kushinda π¬π¬..Wamefanyaje tena hao mashabiki wa simba??