Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivii
mkibahatisha mnakelele nyie ni hawa View attachment 2174844
Kubahatisha ndio kukojeee?!
Goli 4 mtu kabahatishaa?
Ndio maana mashabiki wengi wa timu ya yanga hawanenepii,Rohoni mpaka mwilinii,mnamajungu mnooo.
mkibahatisha mnakelele nyie ni hawa View attachment 2174844
Pole sanaaa,najua unatamani hii Raha tunayopata uwe nayooo,ndio hivyoo haiwezekani.
Jitahidini mwakani na nyie angalau mshiriki na kufika hatua hii.
Shida kubwa ya mashabiki wa yanga,ni mdomooo,mna manenooooo!!
 
Hawana tofauti

Na wazee wa pwani

Kuuza nazi 10

Alfajiri hadi jioni

Na anarudi nazo
 
Ngumu kwao

Hao tunaocheza nao


Itategemea tumeamkaje

Siku hiyo

Tunaweza tukasambaratisha

Ama tukatiwa adabu kama tumeingia

Kambi ya jeshi bila kibali

Huku tukichezea kichapo kama cha mbwa koko

Halafu hatujali wala nini

Chelsea vs Arsenal ikiwa mapema nitaenda kuangalia hii mechi .

Kha mashabiki wa asenali mna raha nyie au ni wewe peke ako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…