Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni Abihud

Aliimba
 
Njaa


Wewe wa kishua bhana

Inahusu akina sisi

Kutokea mwalatu/mwandoya huko na Ikungu lya babinza
Gasuma
Migato
Majahida
Gidalimanda
LΕ«gΕ«lΕ«
Salunda
Nyamalapa
Bunamhala
Somanda
Sima
Ngashanda
Gabu
Mahaha
Ng'walushu
Kilulu
Sanungu
Ikungwilipu
Ikungulyabashashi
Sanungu.....
Ngashanda...
Old Maswa
Nyakabindi
Ng'wakibuga
Dutwa
Sapiwi.....

T 1990 ELY
 
Basi tuu... ila wasukuma......!!!

Au basi.....


Acha nibaki hivihivi na unyamwezi wangu.

Shida hakuna tofauti....
Wasukuma na Wanyamwezi si wale wale tu? Wewe ni bageshi tu hata ufanyeje. Wanasarufi wa mwanzo mwanzo walikichukulia Kinyamwezi kama lahaja ya Kusini ya Kisukuma (Kimunadakama). Mpaka baadaye kidogo walipochambua data za Kileksikografia kwa uangalifu ndiyo wakaona wakitenge Kinyamwezi kama lugha inayojitegemea.
 
Gasuma
Migato
Majahida
Gidalimanda
LΕ«gΕ«lΕ«
Salunda
Nyamalapa
Bunamhala
Somanda
Sima
Ngashanda
Gabu
Mahaha
Ng'walushu
Kilulu
Sanungu
Ikungwilipu
Ikungulyabashashi
Sanungu.....
Ngashanda...
Old Maswa
Nyakabindi
Ng'wakibuga
Dutwa
Sapiwi.....
Miji yote hiyo

Nimeshaifika


Nyangokolwa

Habiya kuelekea kanadi huko
 

Yoooh mimi ni bageshi.....!!!! Gineheeee....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mimi nabishaaa, basukuma na banyamwezi ni mtu na binamu yake...!!!

Sema tumeoleana sana ndo maana mulemule tuu ila mi basi sasa nimeshindwa...!!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Naenda kubatizwa ziwa Toga.... sijui bado lipo hili ziwa.... mabadiliko ya hali ya nchi/hewa....πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Samaki wake walikuwa watamu.... nimemkumbuka shangazi yangu Misoji....πŸ₯²πŸ˜ͺ

Alikuwa akinifatia samaki anawapika na karanga na nswalu wenye uyoga na ugali iiigghhhh...🀀
 
Wanyamwezi

Kwenye mboga za mimea

Mpo juu
 
Hilo halina ubishi

Maana shughuli pevu

Mnaiweza

Mpo juu kama minara ya simu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



Hiko alikula mnyamwezi kipindi anaumwa....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Akomba na ndimu na pilipili...

Alipomaliza akaomba bilauri ya maziwa kisha akarudi kulala hoii anaumwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chakula kama mahaba tuu, hata ukiumwa haina kujivunga...πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…