Game sikuhizi gumu best, watu wanalalamika wanafanya kaz kubwa af matokeo kidunchuπ€£π€£sema joto zuri sana kwenye game ππππ hadi cheche zinatoka π¬π¬π¬
kaiser asubuhi kanipigia simu.. nikamuambia tumbo limevuga naendesha.. kumbe mood ya ulalo... huwa kama hivi hapa najirusha rusha.. kinanibembeleza tu πππHapo hata njaa husikiii, hadi mida ya mchana.
Aah raha sana
Hao watu hawana faida wauawe ππππ game ni shemu ya peke yake halihitaji utetezi aina yoyoteGame sikuhizi gumu best, watu wanalalamika wanafanya kaz kubwa af matokeo kidunchuπ€£π€£
Hiko kitanda nikikipata nitanenepaπkaiser asubuhi kanipigia simu.. nikamuambia tumbo limevuga naendesha.. kumbe mood ya ulalo... huwa kama hivi hapa najirusha rushaja.. kinanibembeleza tu πππView attachment 2173690
Lazima wajitetee ndio wasionekane wazembeπHao watu hawana faida wauawe ππππ game ni shemu ya peke yake halihitaji utetezi aina yoyote
πππ vina raha yake, na uzuri mneso wake silence wa kubembeleza.. aah..Hiko kitanda nikikipata nitanenepaπ
Unanesa nesa kipapaa, shida zote za dunia unazisahau hapoπππ vina raha yake, na uzuri mneso wake silence wa kubembeleza.. aah..
πππ sema wahojiwe kwanza.. kabla ya kuuwawa.. nyie watu wenye vitu vyenu special ku balance sio rahisi.. inabaki kujitetea.. akienda kwenye viwanja common anakuwa mkali tu.. ila akitua hapo chalii.. akikutana na ile atmosphere anachanganyikiwaLazima wajitetee ndio wasionekane wazembeπ
Wauwawe na watupwe mbali huko mabondeni
Hamna namna asieee plus baridi.. kalii.. hakuna kutoka plus utulivu ππUnanesa nesa kipapaa, shida zote za dunia unazisahau hapo
ππππ kobe la asubuhi, mchana au usiku.. Hapa vimeumana Islam wamefunga na RC wamefunga.. maeneo pendwa tutegee kuwe na uhaba wa watuWale makobe tujuane
π€£π€£π€£π€£ weee em niache niende zangu kupata upakoπππ sema wahojiwe kwanza.. kabla ya kuuwawa.. nyie watu wenye vitu vyenu special ku balance sio rahisi.. inabaki kujitetea.. akienda kwenye viwanja common anakuwa mkali tu.. ila akitua hapo chalii.. akikutana na ile atmosphere anachanganyikiwa
Leo RC hatujafunga, J2 hua hatufungiππππ kobe la asubuhi, mchana au usiku.. Hapa vimeumana Islam wamefunga na RC wamefunga.. maeneo pendwa tutegee kuwe na uhaba wa watu
hahahahaha,ππππ kobe la asubuhi, mchana au usiku.. Hapa vimeumana Islam wamefunga na RC wamefunga.. maeneo pendwa tutegee kuwe na uhaba wa watu
πππ atmosphere inapelekea dk 1 kupoteza pambano.. asikia ile sound ya mashabiki network inakataaa anaona liwalo na liwe..π€£π€£π€£π€£ weee em niache niende zangu kupata upako
ila cha ajabu jana nimewakuta wengi sana kutoka dar hapa nilipo.. hadi nikashangaaa ni wilayani kuna project ya wazungu.. nao wamezagaaa kila kona au sijui ilikuwa vunja junguhahahahaha,
'maeneo pendwa tutegemee kuwe na uhaba wa watu '
aah! RC wa kisasa wewe.. mie mbona bi mdashi kafunga.. huwa hasimami hata siku moja aisee... πππ usije kuwa unafunga ki michongo aseeLeo RC hatujafunga, J2 hua hatufungi