[emoji848] duuh!Ukiangalia vizuri,hapo mpiga picha na huyo bwana mwenye ringi na saa mikononi walikua wakishindana nani mwenye simu inayeweza kuchukua selfie kali,mpiga picha akiwa na simu inaitwa asus na bwana mwingine akiwa na camon c9..
Hakika ni ngumu kumjua ambition + katika hao vijana wanne.
Mimi naona ni huyo mpiga picha hata kama nimekosea hahaaUkiangalia vizuri,hapo mpiga picha na huyo bwana mwenye ringi na saa mikononi walikua wakishindana nani mwenye simu inayeweza kuchukua selfie kali,mpiga picha akiwa na simu inaitwa asus na bwana mwingine akiwa na camon c9..
Hakika ni ngumu kumjua ambition + katika hao vijana wanne.
Utakua umenifananisha mkuu,vuta kumbukumbu zako kwa umakini [emoji38]T shirt ya njano
Uso mwembamba sawa sawa na selfie ambazo nishazibamba hapa ukipost.
Labda,nahisi utakua umevutiwa na tabasam mwanana la mpiga pichaMimi naona ni huyo mpiga picha hata kama nimekosea hahaa
Hujabadilika mkuu ndani ya Yellow ya Yanga na CCMUnaweza mtambua ambition plus hapo ni yupi katika hao vijana...
Selfie ilichukuliwa miaka saba iliyopita..
Hapo ni cafeteria, ni kazi yangu ya kwanza ya kueleweka...
Katika hao vijana wanne,watatu wote walifukuzwa kaz kwa nyakati tofauti,kila mmoja na ana stori yake.
Aliyebaki kazini ni ambition + tu.
View attachment 2172743
Sahihi, na ana tabasamu zuri yuko na muonekano bomba [emoji23]Labda,nahisi utakua umevutiwa na tabasam mwanana la mpiga picha
[emoji38] [emoji1787] natania tu.
Sidhani kama uliishia kunywa maji peke yake....
Ewaaa [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hata wine kidogo haunywi nkamu?[emoji134][emoji2096]Sinywi pombe Mkuu
Huh![emoji848]Hujabadilika mkuu ndani ya Yellow ya Yanga na CCM
Compliments well received [emoji5]Sahihi, na ana tabasamu zuri yuko na muonekano bomba [emoji23]
[emoji106]Compliments well received [emoji5]
Uongo kweli?Huh![emoji848]
Mimi nitawasaidia kufuturu[emoji1787]Ramadan Mubarak to all Muslims, tutawasaidia mara moja moja kupiga desh!
Asante kipenzi hii qaswida inaishi ❤️😍Mimi ngoja niwape wa Sami Yusuf
Allah Almighty
Miaka yote hii ngoma ni kali mno sijapata kuona[emoji119]
Hata wine kidogo haunywi nkamu?[emoji134][emoji2096]