Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Bishangaa[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]
Gugu....π€£π€£π€£π€£π€£
Hahaha karibu Tukuyu
Kama hamissa mobetto?Gugu....π€£π€£π€£π€£π€£
Na ukiniona navyobinua mdomo kuitamka hiyi tununu sasaπ€£π€£π€£π€£
SijajipangaTwende bhana sina mwenyeji
Ni balaa mama mchungajiKama hamissa mobetto?
Boss lediii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kaa hapahapaNi balaa mama mchungaji
Usisahau kuselfika
ππππKaa hapahapa
SelfieMambo baba J
Kaa hapahapa
Najua itafutwa balaa....Baby hapo si utampa hugs moja matata sana anasahau habari za ndondo kwenye M1 πππ then.....Unairudisha kwa boksi faster ile harufu ya upya upya irudiWe humtakii mema baby wangu.π Nikidondoshea mchuzi wa maharage ntasema nilikuwa nahangaika nini?ππ
Nkamu tunaomba picha ya mguu itumotivate kuvaa soksitunasubiri Nkamu
Nazunguka zunguka hapa kama Mlinzi WA KK security na miluzi juu πKaa hapahapa
Endelea kupiga roundπ π πNazunguka zunguka hapa kama Mlinzi WA KK security na miluzi juu π
Miluzi inakauka dadeki πππ ngoja Nipige Hill water nilainishe kooπππEndelea kupiga roundπ π π