Nianze tena kustorika?
Hahaa
Briefly:
1st stopβ¦. Pilato anamuhukumu Yesu ili hali hajui na haoni kosa, ila anafanya hivyo 7bu ya kumuogopa Kaisari na Wayahudiβ¦
Leo hii hata sisi tunashindwa kufanya mema kwa sababu ya kuogopa macho ya wenzetu na maneno ya hapa na pale.
Mf: katika kuokoka, ukiokoka full maana yake na baadhi ya mitindo ya maisha inakupasa uiache like kuvaa kizumaridi. Ila sasa inaweza kukushinda kuenenda na mtindo wa kuvaa kiAbiud kwa kuhofia macho ya watu.
Pia suala la haki, inatupasa tuitende kwa namna inatakiwa iwe pasipo kuleta za Pilato kuigandamiza haki kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi na kubembelezea ushost wake kwa Kaysari.
Likely kibinadamu, unakuta mtu anashindwa kusimamia haki 7bu tu anataka kum favor rafiki / ndugu.
5th stopβ¦. Tunaona namna Simon wa Kirene anamsaidia Yesu kubeba msalaba, hapa tunapata funzo la ukarimu mixer upendo.
Kituo kinatuonyesha ushujaa wa Simon kumsaidia Yesu nasi pia yatupasa kumsaidia Yesu kuuchukua msalaba, tunauchukuaje!!
Ni kwa kuzifata na kuziishi amri za Mungu na amri za Kanisa letu la kikatoliki.
Na misalaba yetu ya kibinadamu tuibebe mpaka Kalvario
Afu mie sikusoma Sunday school ujue
inatosha