Hey, He was my friend aliomba ushauri kwangu so the best way nikaja hapa kuomba ushauri and nashukuru nilipata kitu cha kumueleza and mahusiano yake kwa sasa yako safi
Hii picha itasababisha uzue taharuki katika "PM INBOX" yako mkuu. Usije ukaambiwa uripoti katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako (Kama Idriss)