Hata ukinikurupusha kutoka usingizini usiku wa manane nakutajia ya kwanza mpaka ya 10 bila kubabaika wala kukosea. Nyerere alipambana sana kupandikiza falsafa ya uzalendo, utu na uadilifu. Good ole days...
Hata ukinikurupusha kutoka usingizini usiku wa manane nakutajia ya kwanza mpaka ya 10 bila kubabaika wala kukosea. Nyerere alipambana sana kupandikiza falsafa ya uzalendo, utu na uadilifu. Good ole days... View attachment 2172065