@Simara nkamu tutapungua kweli? Sio kwa hii appetiteView attachment 2171941
[emoji39][emoji39]
Naomba ongeza kipimo Cha Ugali nije kula πππ
Amiyn kipenzi ,na dua zijibiwe za kwetu soteNakutakia mfungo mwema dear ..
Ikawe heri , dua zako zijibiwe na Mwenyezi Mungu .
Jamani hazijafika bado shabiby tu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]?Ni nzuri sana, mmeniambukiza kuzipenda, saivi hata nikiwa Ofisini utanikuta nazo kwenye meza yangu nakula[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2171941
[emoji39][emoji39]
[emoji1787]Dada una makusudi[emoji39][emoji39]unataka tuvunje simu
Hapo nipo peke yangu nawe utakuwa wa piliNaomba ongeza kipimo Cha Ugali nije kula πππ
Karibu sana jiji jipya mzee baba,hizi zaliwa hata km nipo mwenyewe hazina madhara kwangu hiziUsijali, kesho kutwa nitakuja kutalii hapo Soko Kuu la Ndugai. Nitakuletea, ila usile ukiwa mwenyewe bila uwepo wa Mzee mwenzangu. Shughuli yake so haba [emoji87]
Mwenzunu ugali na bamia kama dozii napendaa mnoππDada una makusudi[emoji39][emoji39]unataka tuvunje simu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hizi fujooo sasa za Vietnam ladha tofauti na za bongo?!!!tunataka za Vietnam[emoji3]
Hujanipa maelekezo Mkuu, zisije kuishia kuliwa na Kondaπ€ͺJamani hazijafika bado shabiby tu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]?
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji2]usijali binamu karibu mnoooBina nakuuliza ili unitumie futari tena Jumatatu nitakua Makao Makuu [emoji3]
Asante, utanipeleka na Kongwa. Nina research yangu naenda kukusanya Data kule π€ͺπ€ͺKaribu sana jiji jipya mzee baba,hizi zaliwa hata km nipo mwenyewe hazina madhara kwangu hizi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tutashiba kweli? Fanya mpango basi nije kula huo Mlenda ππHapo nipo peke yangu nawe utakuwa wa pili
Nusu wawili tutashiba mkuuKwahiyo tutashiba kweli? Fanya mpango basi nije kula huo Mlenda ππ
Mbinguni tutapewa miili mipyaNkamu mambo yenyewe ndiyo kama hayo acha tu tunenepe[emoji3]
Nakuja faster ,πππNusu wawili tutashiba mkuu
Wewe tu nifanye utalii wa ndani miye!ila uniendeleshe[emoji39][emoji14][emoji14]navopenda safari kama kiwaviAsante, utanipeleka na Kongwa. Nina research yangu naenda kukusanya Data kule [emoji2957][emoji2957]