Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah! Enzi zile Makapuku inawaka moto. Good ole days. Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai. Almost 4-5 yrs back...
Mungu mwema sana Tupo hai hadi leo..[emoji1]

Hapo katikati yametokea mengi, but we' moving mzee.

Kitambo sana, enzi zile watu wanagombana makapuku, kesho yake wanabembelezana.[emoji1]

Cc Shunie
 
Back
Top Bottom