Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bosi ledi wakati najiphotoa haka kapicha nilikuwa najisemesha eti ka skonkinko mid kama haka si unavaa?[emoji1787][emoji1787]View attachment 2170865
Hako navaa ma mchungaji fanya kunipasia size yangu 39/40 . Una kucha nzuriii dah! Hivi ulishagombeaga u miss eehh?? naona unafaa sana plus u fashionist !!
 
Hako navaa ma mchungaji una kucha nzuriii dah! Hivi ulishagombeaga u miss eehh?? naona unafaa sana plus u fashionist !!
U-miss na matege yangu na sura hii ya kinyaki? Fashionista wapi boss ledi mweeh

Sasa hivi si unafanya diet; pambana uzito ukishakaa vizuri anza kutupia mid heels mara mojamoja. Gradually utaanza kuzizoea then huyo unahamia kwenye high.
 
Weeeh ma mchungaji ile picha ulitumaga umeshikana na fazapastor una guu zuri tu mbona afu limejaa jaa kidogo!
 
Back
Top Bottom