Bageshi jamani hasira za nini tena hizo?Muone! Bado nina hasira na wewe halafu. Niwache bageshi [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu mtu muhimu sana akikosekana panapooza kweli...
YuleUpo vizuri sana le madame! Addiction ya huu uzi ni next level, huyu mzee kwa msata kanikamata sio poa coz kila nikitaka kuukimbia nashindwa.
Wadada wa humu mko warembo sana...
Nyie hapa hatuko mwaloni wala buzurugaBageshi jamani hasira za nini tena hizo?
Pls nisamehe japo sijui kosa langu🙆♀️
Ila kweli ombi langu lifikirie bageshi
Muone!Bageshi jamani hasira za nini tena hizo?
Pls nisamehe japo sijui kosa langu[emoji2296]
Ila kweli ombi langu lifikirie bageshi
Huyo[emoji1787]Mkuu hii Dunia ukizubaa utakosa vizuri.muone mrema sahivi ana enjoy
Nabishaaaaakama nasema uongo.. nalipa fidia.. na akibisha naweka ushahidi 😂😂😂😂
🤣😂😂😂😂😂 !!Huyo
Pasaka ikipita
Sijui[emoji1787]
Tuwacheeee😂Nyie hapa hatuko mwaloni wala buzuruga
Tuko Silver Palm sisi [emoji16][emoji16][emoji16]Nyie hapa hatuko mwaloni wala buzuruga
Ushindweee !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]Huyo
Pasaka ikipita
Sijui[emoji1787]
Nifanyie wepesi[mention]Nuzulati [/mention] mrembo hebu tusafishe macho wenzio jamani...
Haya..hebu geuka sasa!![emoji12]
Nifanyie wepesi
Shangazi
Nikuone hata macho tu
[emoji1787][emoji1787]Kuna kitu kaweka humu sio? Ngoja nimuite, Mshana Jr
teh teh teh😂 kuna vijana tu lile goma hawaliwezi aje kuwa mzee wetu!!!Huyo
Pasaka ikipita
Sijui[emoji1787]
hapana shangazi fanya Mazoezi tu kwa afya ugeuke geuke !!Unataka kumdhalilisha shangazi tena[emoji2][emoji2]