Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Mar 30, 2022 #172,501 mahondaw said: Kabisa yani! leo nalala mapemaaaaaa!!! Muwe ma usiku mwema wapendwa!View attachment 2169657 Click to expand... Goodnight Boss Lady. Hata mi naondoka hapa. Mungu Atulinde na kutubariki sote
mahondaw said: Kabisa yani! leo nalala mapemaaaaaa!!! Muwe ma usiku mwema wapendwa!View attachment 2169657 Click to expand... Goodnight Boss Lady. Hata mi naondoka hapa. Mungu Atulinde na kutubariki sote
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,502 Lenie said: Tutachemsha mihogo tunywee chai hadi tukitoka jasho linukie mihogo na viazi Click to expand... Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwaπ¬
Lenie said: Tutachemsha mihogo tunywee chai hadi tukitoka jasho linukie mihogo na viazi Click to expand... Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwaπ¬
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,503 Shimba Ya Buyenze said: Wadhamini wameeleweka. Lawama zote abebeshwe boya Putin View attachment 2169658 Click to expand... Kazi ipo kwa kweli ngoja niamie kule tuliposhauliwa kwendaπ¬
Shimba Ya Buyenze said: Wadhamini wameeleweka. Lawama zote abebeshwe boya Putin View attachment 2169658 Click to expand... Kazi ipo kwa kweli ngoja niamie kule tuliposhauliwa kwendaπ¬
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Mar 30, 2022 #172,504 Katriel said: Hahaah sawa babu, kesho nitaweka ngoja nijikoki,,, Click to expand... Unitag basi ukiweka. Asante....
Katriel said: Hahaah sawa babu, kesho nitaweka ngoja nijikoki,,, Click to expand... Unitag basi ukiweka. Asante....
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,324 Mar 30, 2022 #172,505 Katriel said: Hahaah sawa babu, kesho nitaweka ngoja nijikoki,,, Click to expand... kesho kote huko jamani ππ!!
Katriel said: Hahaah sawa babu, kesho nitaweka ngoja nijikoki,,, Click to expand... kesho kote huko jamani ππ!!
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,506 9.8ms squared said: πππ si unajuwa we ndio furaha yangu na uhai wangu.. Click to expand... Najua kipenzi changu asante kwa kunipenda babyβ€οΈ
9.8ms squared said: πππ si unajuwa we ndio furaha yangu na uhai wangu.. Click to expand... Najua kipenzi changu asante kwa kunipenda babyβ€οΈ
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Mar 30, 2022 #172,507 Nuzulati said: Kazi ipo kwa kweli ngoja niamie kule tuliposhauliwa kwenda Click to expand... Burundi? Hao hata bandari hawana. Usijekuta bei ya mafuta huko ni maradufu ukatamani kurudi
Nuzulati said: Kazi ipo kwa kweli ngoja niamie kule tuliposhauliwa kwenda Click to expand... Burundi? Hao hata bandari hawana. Usijekuta bei ya mafuta huko ni maradufu ukatamani kurudi
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,508 Shimba Ya Buyenze said: Burundi? Hao hata bandari hawana. Usijekuta bei ya mafuta huko ni maradufu ukatamani kurudi Click to expand... Naenda zambia mkuu au huko nako kwacha itanirudisha bongo
Shimba Ya Buyenze said: Burundi? Hao hata bandari hawana. Usijekuta bei ya mafuta huko ni maradufu ukatamani kurudi Click to expand... Naenda zambia mkuu au huko nako kwacha itanirudisha bongo
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 30, 2022 #172,509 Nuzulati said: Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwaπ¬ Click to expand... πππ Kuna mafuta ya samli mpenzi wangu au ya sato ndio tutakuwa tunatumia..
Nuzulati said: Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwaπ¬ Click to expand... πππ Kuna mafuta ya samli mpenzi wangu au ya sato ndio tutakuwa tunatumia..
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,510 9.8ms squared said: πππ Kuna mafuta ya samli mpenzi wangu au ya sato ndio tutakuwa tunatumia.. Click to expand... Asante kipenzi kwa kujali π
9.8ms squared said: πππ Kuna mafuta ya samli mpenzi wangu au ya sato ndio tutakuwa tunatumia.. Click to expand... Asante kipenzi kwa kujali π
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Mar 30, 2022 #172,511 Nuzulati said: Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwa㪠Click to expand... Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana. Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua
Nuzulati said: Kuna uzi nimeona eti kwa sasa mafuta ya nguruwe ndio wanatuuzia tutapona kweli li nguruwe lilivyo libaya vile tena limelaaniwa㪠Click to expand... Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana. Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,986 Mar 30, 2022 #172,512 Shimba Ya Buyenze said: Putin sucks View attachment 2165922 Click to expand... kumbe hadi wewe upo nchi za mabeberu !!! sasa ma "yutong" unayapataje huko boss
Shimba Ya Buyenze said: Putin sucks View attachment 2165922 Click to expand... kumbe hadi wewe upo nchi za mabeberu !!! sasa ma "yutong" unayapataje huko boss
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 30, 2022 #172,513 Lenie said: Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana. Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua Click to expand... Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa ππ..
Lenie said: Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana. Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua Click to expand... Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa ππ..
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,514 Lenie said: Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana. Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua Click to expand... Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokujaπ¬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli
Lenie said: Labda haya mafuta ya kupima wanaweza chakachua maana nchi yetu hii nayo sometime kufa kufaana. Hapo bora mtu ununue kidumu ambacho kiko sealed atleast sio rahisi kuchakachua Click to expand... Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokujaπ¬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,515 9.8ms squared said: Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa ππ.. Click to expand... Serious dumu sh ngapi nahitaji kweli samli
9.8ms squared said: Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa ππ.. Click to expand... Serious dumu sh ngapi nahitaji kweli samli
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 30, 2022 #172,516 Shimba Ya Buyenze said: Putin sucks View attachment 2165922 Click to expand... ππππ chuma inakula tu wese.. haijui tatizo la putin
Shimba Ya Buyenze said: Putin sucks View attachment 2165922 Click to expand... ππππ chuma inakula tu wese.. haijui tatizo la putin
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 30, 2022 #172,517 Nuzulati said: Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokujaπ¬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli Click to expand... my inspiration mwezi wa toba.. nakupeleka mahala.. hadi uishie huko hakuna kujitia unajisi wala kuhusishwa haramu πππ
Nuzulati said: Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokujaπ¬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli Click to expand... my inspiration mwezi wa toba.. nakupeleka mahala.. hadi uishie huko hakuna kujitia unajisi wala kuhusishwa haramu πππ
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Mar 30, 2022 #172,518 9.8ms squared said: Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa ππ.. Click to expand... Harufu yake ikoje? Na bei yake, maana saiv tunapoelekea tutakula chukuchuku na mandaz ya kuoka ila si ndio healthy jamanπ
9.8ms squared said: Afya muhimu.. niagizeni mafuta ya samli.. kuna maeneo huwa nikiwa naenda chato huwa nayakuta kibao.. mazuri sanaaa ππ.. Click to expand... Harufu yake ikoje? Na bei yake, maana saiv tunapoelekea tutakula chukuchuku na mandaz ya kuoka ila si ndio healthy jamanπ
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 30, 2022 #172,519 Nuzulati said: Serious dumu sh ngapi nahitaji kweli samli Click to expand... kwa wewe nakulete buree kabisa mpenzi.. next week naenda kuanzia ijumaa.. serious sio utani kama unayapensa na huwa unayatumia nitakuchukulia..
Nuzulati said: Serious dumu sh ngapi nahitaji kweli samli Click to expand... kwa wewe nakulete buree kabisa mpenzi.. next week naenda kuanzia ijumaa.. serious sio utani kama unayapensa na huwa unayatumia nitakuchukulia..
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Mar 30, 2022 #172,520 9.8ms squared said: my inspiration mwezi wa toba.. nakupeleka mahala.. hadi uishie huko hakuna kujitia unajisi wala kuhusishwa haramu πππ Click to expand... Wapi huko kipenzi wa mimi
9.8ms squared said: my inspiration mwezi wa toba.. nakupeleka mahala.. hadi uishie huko hakuna kujitia unajisi wala kuhusishwa haramu πππ Click to expand... Wapi huko kipenzi wa mimi