Emu nisomee ulichoandika π€£π€£π€£Me nataka nikuone uzini bana shooπ
Nimekumiss eti
Uwiiiii aki hata sikuonaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈEmu nisomee ulichoandika π€£π€£π€£
Shangazi acha bwanaa.. usinihujumu uncle wako.. fanya maarifa shangazi ππMuda wa break kwenye lindo na shangazi atupia kitu[emoji2][emoji2]
tupia basi tuone mavitu π·ββοΈπ·ββοΈEmu nisomee ulichoandika π€£π€£π€£
alafu mkuu sijawai ona kapicha kako mzee π·ββοΈπ·ββοΈUwiiiii aki hata sikuonaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Natengua kauliπ€£π€£π€£π€£
Sema kwelialafu mkuu sijawai ona kapicha kako mzee π·ββοΈπ·ββοΈ
Ah wapi nimesemaπWeeee nivile tu napiga engo fulani!! ila kitambi ninacho kama chote
kweli ebu tenda muujiza basi ππSema kweli
Dah huyu midekoππππ
Shangazi acha bwanaa.. usinihujumu uncle wako.. fanya maarifa shangazi [emoji41][emoji41]
dah! uncle.. okoa okoa uncle watoto wa siku hizi sio watazuga kulala kumbe vinachungulia βΊοΈβΊοΈMjomba subiri watoto walale kwanza [emoji2][emoji2]
πππUwiiiii aki hata sikuonaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Natengua kauliπ€£π€£π€£π€£
dah! uncle.. okoa okoa uncle watoto wa siku hizi sio watazuga kulala kumbe vinachungulia [emoji3526][emoji3526]
hizo hizo shangazi zatosha.. chini huko hatuna haja napo hatumi nguo hapa ππTatizo shangazi ana passport size tu[emoji2][emoji2]
Msabato eeh ππ rangi ya akili
Kweli nkamu punguzo la kilo utalisikia kwa jirani[emoji2296]
[emoji3526][emoji3526][emoji3526] kidogo sana hakitoshi kama mpo watatu
Msabato wapi, nilichange hair style kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.Msabato eeh ππ rangi ya akili
ππππ.. mmh! hapo mnashibaje asaweeeee kimetosha sana[emoji3]
ma legend ndio wanaelewa.. vitu flani hapo vipo vya hatari sana.. acha wafaidi π·ββοΈπ·ββοΈMsabato wapi, nilichange hair style kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.
Rangi ya akili ndio ikoje hiyo