Kama wewe vile πMrembooo [emoji177] biutifuli
Usinifanyie hivo jamani... nahitaji kuwa softi usoni hebu nipeni mbunu please!!Hahahah jamani dear, sasa hapo kuna mawili camera imenistiri pia ujue π€£π€£
Ww kazuri aiseeπ₯°Anne una nini lakini π, shombe wa snapchat
Hereni umepata dearπ₯°ππ₯°π₯°ππππ Santo sana mamy... naomba hizo hereni nimezielewa sana pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Mependeza sanaaaaaπ₯°βοΈ
Usinifanyie hivo jamani... nahitaji kuwa softi usoni hebu nipeni mbunu please!!
πππππ losheni ya kawaida tu!!Kabla uso haujaharibika ulikua unatumia nini?
Kuni mbichi zinawaka motoπIla nkamu [emoji23][emoji23][emoji23] unajua kuchochea
Unazijua sura za watu wa Mbeya lakini?Anne sitaki πππππ kazuri kama wewe bwana π₯° mahondaw njoo umchukue Anne huku π
MweehMtanisamehe katika pambano lenu
Kuni mbichi zinawaka motoπ
Mtu akufata akili zangu anaweza jikuta anajiweks uchi hapaπ
Hahaha nazijua, wazuri wazuriUnazijua sura za watu wa Mbeya lakini?
Nilijua tu boss wetu yupo na time management.Saint Anne bosi ledi mzungu anaenda na muda π mbili nanusu kamiliii
Ila jukwaa linachangamka kwa kweliHaki ya mungu aisee!! Akili zako unazijia mwenyewe!!
Nani alikudanganya dear?Hahaha nazijua, wazuri wazuri
Simtaki πππ Baki nae tu huyu kwa kweli πAaawwwwwwe huyo leo nakuachia nipumue kwanza ππππππππ!! usiombe kukutwa na Anne walai!!
Kabisa....Ila jukwaa linachangamka kwa kweli
Tukitoka hapa tuna furaha tunalala fofofo
Sure[emoji16]A very young man!