Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu bosslady OG ni mmoja tu.. nae ni Nuzulati.. mbingu zinajua na ufalmwe wake wamatambua..
Boss ledi anayefahamika Africa mashariki na duniani kote ni mahondaw

Picha zake tumepeleka pale World Bank wanamalizia mchakato wa kutupa mkopo..
Na boss ledi alivyo na roho nzuri atatupia picha nyingine tumalize mchakato wa mkopo Kwa riba nafuu
 
😀😀😀 mchongo labda... kuna mmoja tu nae ni Nuzulati hao wengine wanafatia.. hamna kinachosekana kwa my inspiration...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…