Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama vaseline unapaka usoni na uso wako ni wa mafuta basi chunusi hazitaisha...
Nilikuwa napaka kote Vaseline yangu

Nikinunuaga kopo kubwa basi Mungu anipe nini tena.


Miaka yote nikikuwa napaka hayohayo ..
Duh,nilivyokuja sehemu ya joto ndo mshike mshike huu ukaanza.
Itabidi niachane sasa na Vaseline yangu
.


Ushauri Kwa wanawake;

Kwa wadada ,wamama,Mabinti
wanaotaka kumaintain hali za shepu za mtindi
..then Vaseline is the best.
Ila nasikia ni Vaseline ile ingine ya blue isiyo na harufu..
Siyo kama hiyo yangu inayonukia.
 
Ha ha ha
Last paragraph

Niliwahi kuisikia…jamani kazi kweli kweli
 

Paka tu mwilini usoni acha kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…