Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,568
- 235,405
Mia Moja ni matatizo[emoji23][emoji23][emoji23]Bi mkubwa huwa anamuambia asipopungua asiende kabisa kwake kumsalimia [emoji23][emoji23]
Ongeza picha ingine shombe wetu [emoji3059]
Asante mpenzi[emoji3059]Jipu uchungu vinauma eeh
Aisee inawezekana ni mazingira yamechangia pia
Tumia hayo mafuta ya Avon, yanaweza kukupenda ukarudi kama zamani .
Wishing you all the best [emoji3448].
Hapana sikujaziUnanijaza eehh?[emoji2]
AiseeId ya mchongo [emoji1787][emoji1787]
Imekuja kumuiba Pep
Kuna siku tulienda hospital kipind kile alikua na kilo97 asa kwene kupima uzito walimgombezaa apungue [emoji23]Mia Moja ni matatizo[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yangu mmoja alifika 95 baada ya kujifungua mtoto wa 3
Akaanza kuugua presha
Hosp wakamwambia uzito umezidi
Alipambana
Hivi mtu anakaaje Hadi anafika kilo 90 jamani?[emoji119]Kuna siku tulienda hospital kipind kile alikua na kilo97 asa kwene kupima uzito walimgombezaa apungue [emoji23]
Me naomba tu nyingine mwayaSijui ulichokiandika,,nikutumie full pc bhasi
Wanakula mno na wana asili ya miili mimi tu ndio nmepona. Si unajua wanyaki heavy weight wengi waoHivi mtu anakaaje Hadi anafika kilo 90 jamani?[emoji119]
Post MwayaSijui ulichokiandika,,nikutumie full pc bhasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakula mno na wana asili ya miili mimi tu ndio nmepona. Si unajua wanyaki heavy weight wengi wao
🤣🤣🤣🤣 Wigelekelo atafika anatambaa kwa mchoko.Aisee
Watu ni noma sana mdogo wangu.
Wanaume watafika Mbinguni Kwa kuchechemea[emoji23][emoji23]
Imagine anataka kweli tucompete na hizi kilo 50[emoji23][emoji119]anatutakia Nini huyu??
She is in a very good shape. Ni mrefu, namba 8 fulani; shida mumewe ni mfupi sana[emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka, diet muhimu
Kuna watu watafika na mwendo wa jongoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wigelekelo atafika anatambaa kwa mchoko.
Oh Asante nitatafuta.
Nilikomaa na Vaseline yangu hadi akili ikanikaa sawa..jipu zinauma aisee[emoji23]
Baadaye nikatafuta haya hapa.View attachment 2167391View attachment 2167392
Ndiyo ameshapenda ndugu yenu, mashemeji mna shida gani 🤣🤣She is in a very good shape. Ni mrefu, namba 8 fulani; shida mumewe ni mfupi sana
Hatari mnoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wananenepa Hadi wanataka kupasuka
Ah wapi
Wanataka uwe shangazi?
Picha ipi tena kipenzi 😬Sijui ulichokiandika,,nikutumie full pc bhasi
Ndiyo ameshapenda ndugu yenu, mashemeji mna shida gani 🤣🤣