Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna kapicha uvopungua nione!!??

mie pia sikuhizi nimepungua sana!! Nafanya mazoezi na diet walau naona vinanisaidia
Lately sijapiga picha full maana hakuna wa kunipiga .

Kupungua kuna raha yake bhana , hongera kwa kupunguza kilo ... Vipi umejua umepunguza kilo ngapi ... Endeleza mazoezi tu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…