Wana bisha hapa jukwaani ila ukweli kwenye fikra zao ......Tatizo ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo! Ukitaka kuamini uliza kama kuna mwanaume ambaye yuko tayari kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke aliyejaza coaster!
Si ndio hapo sasa! Hapa wanasema tu tusisikilize maneno ya watu halafu wakiwa huko wanaambiana hakuna kuoa mwanamke asiye bikira which means hawa wasio na bikira kwao ni takataka na hawafai kuolewa kana kwamba hizo bikira zilitoka zenyewe!Wana bisha hapa jukwaani ila ukweli kwenye fikra zao ......
Shambani, na hutaki kuja chukua hati hutaki kuja kutembeleaaa.. umependwa pendo lote hutaki ππNi wapi hapa mpendwa aisee madhari nzuriiiiβ€οΈ
Wewe Wasema
Mitandaoni sio pa kuaminika, tupo wajinga werevu fake kuna kila aina ya watu.. issue ni ku filters..Jamii inayonizunguka haina hayo mambo ya ajabu ila kwenye mitandao huwa nasoma mawazo ya watu
Sio wanaume wote. hapo ndio unapo chemka.. Kila palipo na kibaya kuna kizuri.. huu mtazamo wako na una haki ya kuwaza hivyo.. hut popote palipo na kibaya kuna kizuri.. mapenzi mahusiono ni spiritual zaidi ya mwilini.. ila mwilini ndio kuna maneno ya ajabu ajabu kuna wanawake ambao wanaoneka hawajatulia ndio wameolewa na walio tulia bado wapo bila bilaTatizo ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo! Ukitaka kuamini uliza kama kuna mwanaume ambaye yuko tayari kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke aliyejaza coaster!
Huku kuzuri...ni wapi??Shambani, na hutaki kuja chukua hati hutaki kuja kutembeleaaa.. umependwa pendo lote hutakiView attachment 2166101View attachment 2166102View attachment 2166103View attachment 2166104View attachment 2166105View attachment 2166106View attachment 2166108View attachment 2166110View attachment 2166111
Pazuri sana, shambani huku njoo basi ππPanavutia sana,na panaonekana pana hewa safi sana...
Nooooooo,,, kama hutabadilika wewe kwanza,,, uanze kutumia nguvu kubwa changing the societyKwanini jamii ndiyo isiache kuwa na mitazamo ya ajabu? Hauwezi kumuambia mtu don't give a damn halafu at the same time unamnyooshea vidole!
Tatizo ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo! Ukitaka kuamini uliza kama kuna mwanaume ambaye yuko tayari kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke aliyejaza coaster!
Pazuri sana, shambani huku njoo basi
I wish jamaniii ni wapi hapaπShambani, na hutaki kuja chukua hati hutaki kuja kutembeleaaa.. umependwa pendo lote hutaki ππView attachment 2166101View attachment 2166102View attachment 2166103View attachment 2166104View attachment 2166105View attachment 2166106View attachment 2166108View attachment 2166110View attachment 2166111
Muambie Fortnox akulete shambani utakutana na hati zako huku huku..I wish jamaniii ni wapi hapaπ
πππ sasa hivi sisubiri wana JF ni mabingwa wa kugandisha hao.. unaweza subiri hadi Yesu akarudi ila mwana Jf asitokeeeeNisubiri pale bondeni nakuja
πππ Haa jamani sie sio mabahari tutoeni kwa hilo kundi la wahuniKulikuwa na ulazima wa kumtaja huyu baharia mwenzioπ¬π
Pazuri sana unataka kuje tembea tembeaHuku kuzuri...ni wapi??
Nitajie mahali nakuja mwenyewe π¬πππ Haa jamani sie sio mabahari tutoeni kwa hilo kundi la wahuni
Nikikaribishwa nitakaribiaPazuri sana unataka kuje tembea tembea