Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha talk is cheap my dear controla narudia tena kwenye jamii yetu wanawake kujiachia hivyo kingono bado sana na chanzo ni ninyi wanaume hivyo wala msilaumu sana

Ninyi ndiyo mnaodharau wanawake baada tu ya kuwa mmekwisha kuwavua nguo na kumaliza haja zenu huwa mnaongea maneno yote mnayoyajua ya kuwadhalilisha

Yaani haiwezekani watu mpeane vizuri tu kiutu uzima halafu mkitoka hapo wanaume mnakuja na zile lugha zenu utasikia eti mwanamke ukishamkojolea hana thamani tena aseee
 
Unajaza Noah yako then unatulia kimya kama sio wewe vile
Haha unafikiri sisi tuna shida na hao walioko nje ya hiyo noah hao wala hawaumizi kichwa! Shida ni hao uliowapakia kwenye hiyo noah watakapoanza kukudharau na kukudhalilisha kitu ambacho inabidi tu uwe mpole sababu ni kweli "wanakujua" na si unajua vile dharau za mtu "anayekujua" zinavyoumiza!
 
Sio ajabu hata kidogo mkuu, kwa mwanamke ku-date 5-10 men hadi kufikia 30yrs ni kawaida tu kwa sasa. Kwanza wanaume hawana mda wa kuwasema wadada siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…