Unampa tu huyo ambae unaona moyo ni mwepesi kwake we mpe tu kwani sh ngapi?
Halafu haendi nayo popote anakuachia ingekua ukimpa hairudishi hpo kweli ungesema utawapa wangapi
halafu kwan privacy siku hizi ni hakuna? who knows umewapa 20 30 au arobaini? we wape tuu kimasihara
kukutana mnakutania location nnje ya dunia,yani dhambi mnaenda fanyia sehemu hata Mungu hawaoni
unaongelea wananchi wa dunia na maneno yao? mimi waongee tu kwanza wataongea nn labda waongelee chogo langu...
Ni kutiririka tu nyimbo za Abiudi mwanzo mwishoToka hapa lol.
ni lile lile hata halijaongezeka, saivi limekua tu advanced lina ka turu kwa mbaliiiiiiHebu kwanza tulione hilo chogo
Aliyekufanyia make up, muambie aje achukue chenji yake
😂😂😂😂😂 una vituko.ni lile lile hata halijaongezeka, saivi limekua tu advanced lina ka turu kwa mbaliiiiii
changamoto ni kipigio sina,nataman kulileta ulione lilivyo damshi Turu la J2😂😂😂😂😂 una vituko.
Emu basi nilione lilivyokuwa advanced
Unajaza Noah yako then unatulia kimya kama sio wewe vile😂Haha nafikiri wewe umeongelea mapenzi yale yenye malengo mimi nasemea wale wenzangu na mimi wanaotaka kukulana kimasihara ndiyo huwa najiuliza sasa kila mwanaume ambaye ni rafiki yako ukisema umpe utawapa wangapi? Jamii yenyewe hii ambayo mwanamke akidate na wanaume wawili watatu tu tayari anaitwa malaya unategemea nini hapo?
Ule wa Tenda muujiza ulikuwa wa kwanza
Sijaona juu bana fanya namna ... Nataka mbele kwa juu
Leo nimekupa picha niliyotazama mbele
Unampa tu huyo ambae unaona moyo ni mwepesi kwake we mpe tu kwani sh ngapi?
Halafu haendi nayo popote anakuachia ingekua ukimpa hairudishi hpo kweli ungesema utawapa wangapi
halafu kwan privacy siku hizi ni hakuna? who knows umewapa 20 30 au arobaini? we wape tuu kimasihara
kukutana mnakutania location nnje ya dunia,yani dhambi mnaenda fanyia sehemu hata Mungu hawaoni
unaongelea wananchi wa dunia na maneno yao? mimi waongee tu kwanza wataongea nn labda waongelee chogo langu...
Turu ndiyo nini kwanza?changamoto ni kipigio sina,nataman kulileta ulione lilivyo damshi Turu la J2
Hizi habari nahisi mda wangu ushapita Saint Anne, vijana ni zamu yenu sasa! Yaani kwa uzee huu kupendwa labda pesa ihusike, pesa yenyewe sina...basi tuwaachie vijana na wazee wenye pesa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 muone neeema ili mgundue nini sasa Msukuma nawewe!!Lile gauni lipo kwenye begi alisema na kulivaa ni mpaka awe na mtoko. Ila kalipendeza mpaka basi. Huu uvaaji wa ki-Abiudi huu unatunyima kuona neema za Allah sana!
Turu ni mwinuko unaojitokeza kwa dharura za maisha,Mwinuko huu hutokea maeneo ya kichwa.Turu ndiyo nini kwanza?
Tumia kichatio kupigia
Hahahaaaaaaa!!Hizi habari nahisi mda wangu ushapita Saint Anne, vijana ni zamu yenu sasa! Yaani kwa uzee huu kupendwa labda pesa ihusike, pesa yenyewe sina...basi tuwaachie vijana na wazee wenye pesa.
Kimasiraha.. unatakiwa ku perform ili uwe kikosi A.. shida ya kimasihara ukicheza chini ya kiwango kocha anakupiga bench tenaHaha nafikiri wewe umeongelea mapenzi yale yenye malengo mimi nasemea wale wenzangu na mimi wanaotaka kukulana kimasihara ndiyo huwa najiuliza sasa kila mwanaume ambaye ni rafiki yako ukisema umpe utawapa wangapi? Jamii yenyewe hii ambayo mwanamke akidate na wanaume wawili watatu tu tayari anaitwa malaya unategemea nini hapo?
Sijui nikurekodie ka clipUle wa Tenda muujiza ulikuwa wa kwanza