Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha mzee wangu ukapiga salute
hao vijana watakuua usikimbizane nao siku ukirudi bongo plz check me nikupeleke kwenu tutembee na ule mkeka
 
Hongera mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake, umegusa kila kona, kikubwa uzima tu lakini mapenzi ya huku ni pasua kichwa kweli, unaweza kupata mtu wako huku ukajivunia nae kumbe wadau wanakuchora tu walisha pita nae kitambo.
Ngoja tuendelee kuona , miji mikubwa hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…