Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Mjukuu bwana. Kila mtu ana wife materials wake anayemtaka. Haya ni mambo tata na huwezi kuyafanyia majumuisho ya jumla. Tako kwa wengine wala siyo ishu kivile. Wengine tu wanataka mtu mwelewa decent asiye na makelele...aaaaarghhh !!!Wee babu ni muongo, wako wengi tyuuh wife materials,
Sema myie mnataka wawe na tako lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umenikimbia na bodaboda yangu; fresh Mimi nasepa 🚴🚴🚴🤗🤗🤗🤗🤗🤗
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeShe wanna come home to roses and dirty little notes on posts it
[emoji16][emoji16]View attachment 2165476
Mara mojamoja c mbayaKa msisimko
Mikono laini? sijawahi tu kuigeuza huku mbele. Boda inanirahisishia sana maishaKabisa napinga tumikono lainii tunawezaje kuendesha bodaboda😬
Nini shida kipenzi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziii nisijue kuhusu babuuu yangu tena?
Tatizo hatuna maelewano mazuri baina yetu. Hahahah
Bas tafran tupu, woiiiiiih. Uwiiiiiih
Vipo kaka vya hatari au ukiona miyeyusho. Nenda mo town karibu na nasheera hutajuta believe me been there sanaVitu vya hatari vipo.. maana kama hamna viti vya hatari nitaanza zunguka mji kama striker asie na mipango [emoji3][emoji3]
Msieeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hazitoki
Kabla sijaanza kukimbizana na CA,, muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee
Weekend hiyooooo. Uwiiiiih
Ndio mkuuMara mojamoja c mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mie hapa uwiiiih.Mjukuu bwana. Kila mtu ana wife materials wake anayemtaka. Haya ni mambo tata na huwezi kuyafanyia majumuisho ya jumla. Tako kwa wengine wala siyo ishu kivile. Wengine tu wanataka mtu mwelewa decent asiye na makelele...aaaaarghhh !!!
acha nimsubiri Heaven Sent atapileka huko kotee.. 😂😂😂..Vipo kaka vya hatari au ukiona miyeyusho. Nenda mo town karibu na nasheera hutajuta believe me been there sana
Kumbe ndiyo chimbo lako baba Joy?Vipo kaka vya hatari au ukiona miyeyusho. Nenda mo town karibu na nasheera hutajuta believe me been there sana
Mi sijasema kitu sis....Hata kama sina hiyo experience , naelewa kwa angle tofauti
Naishia hapa .
Mie nipo hapa bwanaNaona umenikimbia na bodaboda yangu; fresh Mimi nasepa 🚴🚴🚴
Unaweza kunifundisha mpendwa nije kukuona jinsi vile unaendesha❤️Mikono laini? sijawahi tu kuigeuza huku mbele. Boda inanirahisishia sana maisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeh.Kabla sijaanza kukimbizana na CA,, muhimu
Si umeniignoo; mimi nikapigwa tu upepo hapoacha nimsubiri Heaven Sent atapileka huko kotee.. 😂😂😂..
Ungemwambia pumbavu wew maboss Kama sisi hatupimwi kwa machoFortnox nimekutana na dhari hapa na muhuduma kafa kaoza sijui kwakua ni mchafu anajua nina mawe kutoka chunya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. alafu nalipia suite.. ila haamini maana mlinzi mwenye alitaga niletea ukuda akinitazama chini miguu imepauka, nimevaa malapa, kichwa upara kina vumbi ndefu zimechakaa