Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nitamjibu siku nyingine..

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali yako umo ndoani unasikilizika kwa sababu una uzoefu wa moja kwa moja. Wengine wamejaza nadharia tupu. Mambo huku field ni tofauti sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kweli mzee wangu umeongea point Ila shida kumpata Sasa tunaamua kuwa walevi tuu
Nakuelewa sana. Wanawake wapo wengi wa kupelekea moto tu lakini ukianza kutafuta yule mmoja mteule wa kuweka kambi ya kudumu mpaka kifo aisee ni mtihani mgumu sana wa Cambridge cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…