Kuna wawili hapo imebidi tu niscreenshot hii comment niwatumie whatsapp vinginevyo hizo tags zako wasingeziona zingeenda bure tu. Na nimewatumia maana hata mimi mwenyewe siyo siri nimemiss kuwaona humu.
Kiukweli mwenyewe huu uzi umenifanya nifahamiane na baadhi ya watu ambao nilikuwa nawakubali sana humu na nilikuwa sijui hata kama watakuja kukubali kufahamiana na mimi. But leo hii tumefahamiana and we are friends.
Sijawahi fahamiana na mkaka huku then akaja kuwa mpenzi wangu hilo nilishakataa na halikuwa lengo langu since the very first day najiunga jf na nashukuru Mungu nimefanikiwa hilo. So hakuna Mkaka ambaye nimewahi date naye humu.
Wengi niliofahamiana nao ni wanawake and some of them are like sisters to me now yaani tumekuwa kama ndugu. Kwa wanaume ambao nimefahamiana nao walionitongoza urafiki ulikufa hapo hapo kwa sababu sikutaka mahusiano.
Mie nilitaka urafiki tu na kama unavyojua wanaume huwa wakitongoza mwanamke akawakataa wanapotezea. Wenzetu huwa hawataki habari za kuwa friendzoned so automatically mawasiliano yanakufa maana hamna cha kuongea tena.
Na mimi ndicho huwa ninachotaka kwamba kama mwanaume ukiona hauwezi kuwa rafiki kwangu basi njia nyeupe kiroho safi tu. Maana sitaki mahusiano na vile vile huwa sibembelezagi mtu kwangu ni either uwe rafiki au salam zao tu na siyo kwa ubaya.
Ofcourse wapo wanaume wachache ambao Hawana tatizo kuwa friendzoned maana wanajua siyo sifa kukulana na kila mwanamke unayefahamiana naye na wanaume wa hivyo mimi huwa nawasalute ile mbaya yani. All in all this is JF mkuu.
Tualikane mara 1 mjoli tuje tuabudu wote,, au karibia mbweni[emoji1545]
Tumeimba leo kwenye ibada , nimebarikiwa nao ..
Vipi upo poa ?
Twende Mzizima siku moja ..Tualikane mara 1 mjoli tuje tuabudu wote,, au karibia mbweni
inakuwa nzuri zaidi kama ukiwaambia kabisa mwanzoni before having their numbers kuwa right now hauko interested in dating them,,Nop, Sir.
Karibu sana,, mzizima ndo wapi?Twende Mzizima siku moja ..
Kanisa la Mbweni nimeenda mara moja .. nimelipenda hakika nitakuja huko siku .
Haha ongea tu mama mchungaji mimi hili jambo muda mrefu sana huwa natamani nilianzishie uzi sema nakosa maneno mazuri ya kuweka ili nieleweke
Seriously mimi napenda sana kuwa na marafiki wa kiume zaidi kuliko wa kike yaani kwa lugha rahisi napenda zaidi kuwa na washikaji kuliko mashost
Ila tatizo moja tu hawa kaka zetu wanapofeli wanadhani kwamba kila mwanamke anapenda hayo mambo ya friends with benefit ama kukulana kimasihara kama wenyewe wanavyoita kumbe wengine wala hatuentertain hayo mambo
lipo UpangaKaribu sana,, mzizima ndo wapi?
Sasa yeye atajuaje kama huyo mtu atamtongoza? Imagine mtu kakusalimia tu; unaanza kumwambia "sihitaji mahusiano kwa sasa". Kwamba Kila me anakuja tu kukutongoza? Au mimi ndiyo sielewi haya mambo, najifanya msemaji wa wanaume?inakuwa nzuri zaidi kama ukiwaambia kabisa mwanzoni before having their numbers kuwa right now hauko interested in dating them,,
Ntakuja siku moja na mimilipo Upanga
Au English Masaki
Noooo sio baada ya salamu,, nazungumzia kama ukitaka peleka huo urafiki from pm to whats app and ukiona dalili za hayo mamboSasa yeye atajuaje kama huyo mtu atamtongoza? Imagine mtu kakusalimia tu; unaanza kukwambia "sihitaji mahusiano kwa sasa". Au mimi ndiyo sielewi haya mambo?
Karibu japo si mshirika wa pale .Ntakuja siku moja na mimi
Em anzisha uzi siku moja; tusikie from men's perspective. Inawezekana sisi tumeshindwa kuwaelewa. Ila Mimi ninachoamini ni kwamba; urafiki wa dhati kati ya ke na me unawezekana kabisa, pasipo kuhusisha ngono.
Wakati mwingine unashindwa hata kumtreat me vizuri; maana ukimchekea tu anahisi huyu tayari ameshaingia laini, kumbe hata wazo huna
Dalili hizo ni zipi exactly? Sometimes ni kama assumptions: zinaweza kuwa kweli au zisiwe kweli. Imagine umeshafanya conclusion kwa sababu ya hizo assumptions zako wakati kumbe mwenzio hakuwa hata na wazo la kukutongoza?Noooo sio baada ya salamu,, nazungumzia kama ukitaka peleka huo urafiki from pm to whats app and ukiona dalili za hayo mambo
Hapo kwenye vikundi hapoKaribu japo si mshirika wa pale .
Ooh wana ibada nzuri pale vikundi vya waimbaji kama vyote .
Wanaimba vizuri haoHapo kwenye vikundi hapo
Nafatilia comment zenu natamani nichangie lakini basi😬Nuzu umeandika nini my dear?
Mhhhhh,, awightDalili hizo ni zipi exactly? Sometimes ni kama assumptions: zinaweza kuwa kweli au zisiwe kweli. Imagine umeshafanya conclusion kwa sababu ya hizo assumptions zako wakati kumbe mwenzio hakuwa hata na wazo la kukutongoza?