Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,981 reymage said: Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Bina shkamoo Umeona lile shepu???
reymage said: Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Bina shkamoo Umeona lile shepu???
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 25, 2022 #168,982 Saint Anne said: Umepitwa na picha kaaaliii za boss wetu akiwa ndani ya bakabaka Click to expand... Dah! Hata wikendi yote ishavurugika sasa
Saint Anne said: Umepitwa na picha kaaaliii za boss wetu akiwa ndani ya bakabaka Click to expand... Dah! Hata wikendi yote ishavurugika sasa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,983 reymage said: Mimi hapana kwa siupendi Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Umewahi kujaribu?
reymage said: Mimi hapana kwa siupendi Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app Click to expand... Umewahi kujaribu?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,984 Shimba Ya Buyenze said: Dah! Hata wikendi yote ishavurugika sasa Click to expand... Huu uzi kubaki hivihivi bila picha ya boss ledi ni ubatili
Shimba Ya Buyenze said: Dah! Hata wikendi yote ishavurugika sasa Click to expand... Huu uzi kubaki hivihivi bila picha ya boss ledi ni ubatili
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,985 Ila uzuri wako huwa unarudia tu mahondaw said: Nimetuma mara mbili msukuma!! Click to expand... Tena picha zako hazikinai kuangalia π€
Ila uzuri wako huwa unarudia tu mahondaw said: Nimetuma mara mbili msukuma!! Click to expand... Tena picha zako hazikinai kuangalia π€
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 25, 2022 #168,986 Saint Anne said: Huu uzi kubaki hivihivi bila picha ya boss ledi ni ubatili Click to expand... Huo ndo ukweli. Anayebisha ana chuki binafsi na anapaswa kufungiwa jiwe la kusagia na kutoswa baharini tu kwa sababu hakuna namna!
Saint Anne said: Huu uzi kubaki hivihivi bila picha ya boss ledi ni ubatili Click to expand... Huo ndo ukweli. Anayebisha ana chuki binafsi na anapaswa kufungiwa jiwe la kusagia na kutoswa baharini tu kwa sababu hakuna namna!
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Mar 25, 2022 #168,987 Lenie said: Vitu vyangu hivyo, hapo nikipata na ugali pamoja na dagaa+biringanya vilivyokolea karangaππ Ila mlenda napenda hata na wali unaendaπ Click to expand... Nitumie basi hizi zaga ππ
Lenie said: Vitu vyangu hivyo, hapo nikipata na ugali pamoja na dagaa+biringanya vilivyokolea karangaππ Ila mlenda napenda hata na wali unaendaπ Click to expand... Nitumie basi hizi zaga ππ
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Mar 25, 2022 #168,988 Saint Anne said: Ila uzuri wako huwa unarudia tu Tena picha zako hazikinai kuangalia π€ Click to expand... Hamna imeisha hioo ππ!!
Saint Anne said: Ila uzuri wako huwa unarudia tu Tena picha zako hazikinai kuangalia π€ Click to expand... Hamna imeisha hioo ππ!!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,989 Shimba Ya Buyenze said: Huo ndo ukweli. Anayebisha ana chuki binafsi na anapaswa kufungiwa jiwe la kusagia na kutoswa baharini tu kwa sababu hakuna namna! Click to expand... Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi? Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala
Shimba Ya Buyenze said: Huo ndo ukweli. Anayebisha ana chuki binafsi na anapaswa kufungiwa jiwe la kusagia na kutoswa baharini tu kwa sababu hakuna namna! Click to expand... Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi? Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 25, 2022 #168,990 Saint Anne said: Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi? Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala Click to expand... Ngoja tumsubiri Boss Lady. Naamini hatatuacha hivi hivi
Saint Anne said: Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi? Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala Click to expand... Ngoja tumsubiri Boss Lady. Naamini hatatuacha hivi hivi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,991 Haiwezekani huu uzi tunaona picha za watu za kawaida kawaida tu na wakati boss ledi wa kutupia picha kali upo mahondaw said: Hamna imeisha hioo ππ!! Click to expand...
Haiwezekani huu uzi tunaona picha za watu za kawaida kawaida tu na wakati boss ledi wa kutupia picha kali upo mahondaw said: Hamna imeisha hioo ππ!! Click to expand...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Mar 25, 2022 #168,992 Saint Anne said: Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi? Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala Click to expand... Kwani mnaongelea nini Anne??
Saint Anne said: Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi? Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala Click to expand... Kwani mnaongelea nini Anne??
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Mar 25, 2022 #168,993 Depal said: Nitumie basi hizi zaga ππView attachment 2164428 Click to expand... Dagaa hao jamaniππππ Hao ukinipa wenyewe tu bila ugali nakula na kutosheka kabisa.
Depal said: Nitumie basi hizi zaga ππView attachment 2164428 Click to expand... Dagaa hao jamaniππππ Hao ukinipa wenyewe tu bila ugali nakula na kutosheka kabisa.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,994 Shimba Ya Buyenze said: Ngoja tumsubiri Boss Lady. Naamini hatatuacha hivi hivi Click to expand... Hajawahi acha wafuasi wake tusononeke. Atafanya jambo. Ni msikivu.
Shimba Ya Buyenze said: Ngoja tumsubiri Boss Lady. Naamini hatatuacha hivi hivi Click to expand... Hajawahi acha wafuasi wake tusononeke. Atafanya jambo. Ni msikivu.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Mar 25, 2022 #168,995 Saint Anne said: Haiwezekani huu uzi tunaona picha za watu za kawaida kawaida tu na wakati boss ledi wa kutupia picha kali upo Click to expand... Nawewe tupia...acha kunijaza
Saint Anne said: Haiwezekani huu uzi tunaona picha za watu za kawaida kawaida tu na wakati boss ledi wa kutupia picha kali upo Click to expand... Nawewe tupia...acha kunijaza
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,996 mahondaw said: Kwani mnaongelea nini Anne?? Click to expand... Picha kali za boss wetu na nusu.. Boss lediiiii Africa mashariki na kati na dunia yote kwa ujumla.
mahondaw said: Kwani mnaongelea nini Anne?? Click to expand... Picha kali za boss wetu na nusu.. Boss lediiiii Africa mashariki na kati na dunia yote kwa ujumla.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #168,997 mahondaw said: Hamna imeisha hioo ππ!! Click to expand... Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri. Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua
mahondaw said: Hamna imeisha hioo ππ!! Click to expand... Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri. Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 25, 2022 #168,998 Saint Anne said: Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri. Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua Click to expand... Naamini atatenda!
Saint Anne said: Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri. Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua Click to expand... Naamini atatenda!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Mar 25, 2022 #168,999 Selfika ni ya wote....nanyie muweke sasa!! Nawasubiri hapaππ Saint Anne said: Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri. Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua Click to expand... ni
Selfika ni ya wote....nanyie muweke sasa!! Nawasubiri hapaππ Saint Anne said: Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri. Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua Click to expand... ni
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2022 #169,000 Shimba Ya Buyenze said: Naamini atatenda! Click to expand... Halafu unashangaa eti kuna mtu siyo mfuasi wa boss ledi! Sasa usipokuwa mfuasi wa boss ledi utakuwa mfuasi wa nani Tena??? Sisi tunasimama na boss ledii.. Hatutaki kuwa wafuasi wa watu wengine waswahili Swahili...boss ledi ni pisi kali.
Shimba Ya Buyenze said: Naamini atatenda! Click to expand... Halafu unashangaa eti kuna mtu siyo mfuasi wa boss ledi! Sasa usipokuwa mfuasi wa boss ledi utakuwa mfuasi wa nani Tena??? Sisi tunasimama na boss ledii.. Hatutaki kuwa wafuasi wa watu wengine waswahili Swahili...boss ledi ni pisi kali.