Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Hahahaha nkamu uwe makini na assets za watu. Nimeshaongea naye; next time utapata ka-emoji ka loveπ€£π€£π€£π€£Nkamu nqomba uniteteee maana nimelamba bonge la dislike kutoka kwa shemeji yangu Pep kwa sababu ya matumizi ya hili neno nkamu
When you see a man that is helped by GodHeaven Sent staff wangu miss you ππ
He's not a scam He's not a joker always believe
Never lose your faith He's not a joker
He doesnβt play pranks with your life
I know you know
The God we serve is not a joker
Heβs not a man that He should lie
Wabheja sana nkamuππππHahahaha nkamu uwe makini na assets za watu. Nimeshaongea naye; next time utapata ka-emoji ka loveπ€£π€£π€£π€£
Mimi na u-boss wapi na wapi tena nkamu?π€£π€£Wabheja sana nkamuππππ
Usisahau kuselfika boss wangu
Yeah! Kuna wakati mtu unapata upako mpaka unaona kabisa kuwa rapture ikitokea sasa hivi huwezi kukosa lakini sasa ukitoka tu huko unakutana na binti huyo kachongwa weee halafu hajavaa ki-Abiudi yaani unaona kabisa upako huooo unakuacha!Amen... ama kweli leo ni siku nzuri.. huwa nikikaa polini sehemu iliyojitenga na watu.. basi upako huja inabaki kutafakari uzuri na ukuu wa Mungu
MtumishiiiiiYeah! Kuna wakati mtu unapata upako mpaka unaona kabisa kuwa rapture ikitokea sasa hivi huwezi kukosa lakini sasa ukitoka tu huko unakutana na binti huyo kachongwa weee halafu hajavaa ki-Abiudi yaani unaona kabisa upako huooo unakuacha!
Hayo ndio mambo ndugu yangu,baada ya majukumu ya wiki unapata muda kidogo wa kutuliza mwili na akili.View attachment 2164270
Hapa nadhani naweza kuingia Kitambaa cheupe Kwa Mzee mwenzangu King Kiki π€ͺπ€ͺ
The weekend is here π₯
Ngoja tuone may mosi hali itakuwaje Kwa walimu wanaopambana kutufundisha watoto wetu.
View attachment 2164288
Leo si ndio ijumaa eeh?
Safi sana na nilivyo mshamba uje nipate kampani ya mlimbwendeNikija this time ntakutafuta tuzurure mkwe wangu
Naona wenye jimbo bado wako mikoani shem
View attachment 2164288
Leo si ndio ijumaa eeh?
Yeah! Kuna wakati mtu unapata upako mpaka unaona kabisa kuwa rapture ikitokea sasa hivi huwezi kukosa lakini sasa ukitoka tu huko unakutana na binti huyo kachongwa weee halafu hajavaa ki-Abiudi yaani unaona kabisa upako huooo unakuacha!
πππππila wanasema majaribu ni mtaji..Yeah! Kuna wakati mtu unapata upako mpaka unaona kabisa kuwa rapture ikitokea sasa hivi huwezi kukosa lakini sasa ukitoka tu huko unakutana na binti huyo kachongwa weee halafu hajavaa ki-Abiudi yaani unaona kabisa upako huooo unakuacha!
π€π€ AbeeJizazi
Haki ya nani Arusha kunatuharibia watoto
πππ kidumu chama tawalaNimeipenda hiyo
Mary Jane
πView attachment 2164270
Hapa nadhani naweza kuingia Kitambaa cheupe Kwa Mzee mwenzangu King Kiki π€ͺπ€ͺ
The weekend is here π₯