Mimi napenda kweli kupaka hinna kwenye kucha na nunua zile ambazo zinauzwa madukani zimeandaliwa tayari na kweli kucha zangu ni fupi nikitaka kupaka rangi naongezea kidogo
Za dukani zilimtoa mwanangu mmoja malengelenge!hina za mti nzuri ila ndo upatikanaji sasa! Kuna sehemu naujua upo Kongowe sasa sijui km kipindi hiki upo au washang'oa!maana nilichuma last year