Tinsley,, pulling together hzo salamu it will take me,
i don't know,, maybe forever
,ukitegemea mimi nianze maongezi, tunaweza tukakaa seat moja from tz to southafrica kwenye bus,, na tusiongee hadi tunafika,, ukiachana na zile fungua dirisha au naomba kupita,,
Nna phobia ya kuongea na jinsia yenu public