Binafsi nilijichanganya nikaoa chini ya miaka 20, sasa na karibu miaka 15 kwenye ndoa, mwenzangu yeye na watoto tu, mimi hata pole sipewi, gemu napewa kwa nadra sana yaani sana, na mimi damu ndio kama vile ndio imeanza kuchemka, nikitafuta pa kuponea nakutana na maoni kama ya wakina
Heaven Sent daaaah!