Aaaah hilo la kuoa au hajaoa halinihusu, nachotaka ni kile mie ninahitaji kwake tyuuh. Unless niwe na malengo nae hapo ntaanza kufuatilia kujua km status inasoma vipi, ikiwa married
Hapo sasa plan B lazima, m1 kat ya mie na huyo bi mkubwa lazima aachie ngazi.