Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikiwa na ishu ya hivi vyombo vya usafiri nitakuwa nakuja PM kuuliza. Usinichoke [emoji1545]
Vyombo vya usafiri wengine ni hoby mkuu.. hatuchoki ikija kwenye habari ya vyombo.. wengine ndio burdan yetu.. Napenda sana Trip ya Dar - mwanza nikivurumisha chombo langu alafajiri mwanza jioni tu nakuwa nimeingia.. Trip nzuri sana
 
Ashindwe tena ateketee.... sitaki maradhi mie kayakoroga ayanywe na wakwao!! [emoji108][emoji108][emoji108]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…