Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]woiiii!!!hapo sawa ntainjoi balaa na nusu!!!mradi tu nijiamini shida ni muoga sana ila najua why!!!
 
Weehh!ile gari nikigonga nauza vibanda vya urithi vya buguruni na mbagala shostito!!Mimi vitz,ist na rumion wakilewa nawasaidia maana hata NMB ntatop nikigonga[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uoga wako wee mlongo khaaah.
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]woiiii!!!hapo sawa ntainjoi balaa na nusu!!!mradi tu nijiamini shida ni muoga sana ila najua why!!!
Ukishatembee na Fortnox lazima ujiamini.. kuna mahala kwenye barabara kweupeee na kuna mazingira una fanya zoezi mdogo mdogo.. kwa trip mliyipanga utatoka umeivaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…