Kwanza hyo ndinga RR bwana kuna siku tuko wa3 shosti etu mmoja alikuja nayo kwenye party mmewe alimuambia achukue tunatoka tbt tunaelkea makumbusho akaomba tumsaidie kuendesha tulikataa
tukawaza tukigonga tuu!!bwana wee ila ndinga kaali mule ndani kama ndege afu tuko wadada na tulivo na sifa plus vurugu tukashusah vioo yaani
sisahau ile siku Yale macho barabarani wanavutazama afu mziki mkubwaaaa!!!
Sasa nawaza Fortnox ndo kashanipandisha mamaa
weee