Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena nilikutag wewe tu!!
Nilikuwa barabarani uliporusha ile ya mwanzo fasta nikatafuta sehemu nikapaki isinipite. Polisi kaja kaniuliza are you OK nikamjibu I am OK officer huku moyoni najisemea ofisa boya naye huyu. Hata hajui kuwa Bosi Ledi huku keshashusha mambo. Rahaa! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
😂🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭 sitaki kucheka msukuma khakhaaaaaa
 
Yaani huwezi amini nimezoom Ile picha ya kwanza zaidi ya mara 3 Kwa kutumia hii Miwani yangu ya mbao hadi ikanidondoka Chini na kupasuka 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…