Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi naitupia lawama serikali.
Wamewavunjia watu vibanda bila suluhu ndio hawa sasa wamekuwa vibaka huku mtaani wanatunyanyasa.
Mrundikano huu wa vijana wasio na ajira ni bomu tu linalosubiri kuripuka. Na mazingira ya kujiajiri ukiwa ndo unaanza ni magumu kweli kweli. Usumbufu kibao...ukiinua kichwa unaambiwa uhamie Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…