Wee kwa shape sina unafiki umebarikiwa mwayaa. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ya kawaida sana shos
Kuna wezi uchwara walikuwa wanawangia nyumba za watu.Kwani umekutwa na jambo gani cc? Hebu nambie kwan bas.
[emoji3][emoji3]Mmhh wewe laiti ungejua [emoji1787]
Basi sawa sio mie yes.Mmmmmh!!...Sidhani
Hapa umetupiga mkuu
Sasa nn?Mmmmmmmh
Unayo bhanaAwapi!
Atanijibia mahondaw[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nijibu wee hapo bhana
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji8][emoji8]Unayo bhana
Umejaliwa na shape moja amaizing
Tobaaaaaah wee, sasa unafanyaje kwahiyoo?Kuna wezi uchwara walikuwa wanawangia nyumba za watu.
Nilijua mzimu,maana nimemdaka usingizini boya yule
Limetumbukiza mikono na limeondoka na mkoba wenye IDs mbalimbali mshamba yule pimbi.
Hahhaah nikauche ,nimekonda siku hizi .[emoji3][emoji3]
Najuaa
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]ndio ndiooo...Santo sana shos.unanouga hatari [emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah weehNitag kwenye hilo swali nimjibu rafiki..
HahaBasi sawa sio mie yes.
Sipo humu kwa ajili ya kukuaminisha wee.
Relaaaaax.
Bado tunaiadore. Hebu tubariki basi kidogo.Hahhaah nikauche ,nimekonda siku hizi .
Picha ile ya kitambo sana
Kwanini hamkuLock dirisha?Kuna wezi uchwara walikuwa wanawangia nyumba za watu.
Nilijua mzimu,maana nimemdaka usingizini boya yule
Limetumbukiza mikono na limeondoka na mkoba wenye IDs mbalimbali mshamba yule pimbi.
Niko poaaaah sana, nia yako niweke full eeeh?Haha
Kwema mkuu
Wee cc unaingia kwa Banks tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]