Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,276
- 95,555
si kweli?Mimi nipo wewe ndie uliyepotea mc
si kweli?Mimi nipo wewe ndie uliyepotea mc
Ostadhat nawee khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Em nitumie nicheke, maana unatokea kama ustaadh (kuna mtu alituchamba vimbaumbau wava madera)
Bila hivyo mmmmmhIla inaonekana anne ni mtata mno naona dini kidooooogooo inamsaidia.
😃😃hata sijui kwanini nimewaza hivyo loh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha zako hapa khaaah.Shape ipi tena jamani
Mimi sinaga hiyo kitu dear
Selfika ina warembo ,wewe tu upo busyKama mwendo wako ndo huu sikuhizi basi nimekosa mengi sana hapa.
Kuna mtu alituchamba vimbaumbau wavaa madera (haswa nyeupe) eti tunaonekana kama ustaadh kavaa kanzuOstadhat nawee khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lina mashiko sanaaHahahaha jamani
Jicho la upole hili [emoji28][emoji28] .
lazima unisamehe tu hapo
Huo ndo ukweli aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha zako hapa khaaah.
Ooh asanteLina mashiko sanaa
eeh,lkn hamtupii pichaOoh vyema
Naona leo upo pamoja nasi humu.
Nasubir [emoji23][emoji23][emoji23]Basi leo usitoke hapa nashusha kitu live bila chenga no mask[emoji12]
Irudiwee irudiweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsantee shouzzzzzzzz.
tuone hy figureHuo ndo ukweli aisee
Mimi sieleweki bora niseme mimi ni English figure mwenzenu .
Ngoja nivute kitiBasi leo usitoke hapa nashusha kitu live bila chenga no mask😜
Picha zinakuja mdogo mdogo .eeh,lkn hamtupii picha
Warembo akina Tinsley nakubaliiSelfika ina warembo ,wewe tu upo busy
Watu wamejaliwa humu balaa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana mie jaman khaaaah.Kuna mtu alituchamba vimbaumbau wavaa madera (haswa nyeupe) eti tunaonekana kama ustaadh kavaa kanzu
Nione selfie yako kwanza [emoji28]tuone hy figure