afu huwa inatokea bahati tyuuh, sio kwamba napendaga hivyo,
Mbna nyingi za mda nlikua naweka za kawaida, hiyo picha ilikua siku ya birthday ya class mate, ndo nlivofka pale nkaphotoa ya, studio hahahah.
Kumbe umeninyima vitu vizuri kwa muda mrefu saanaa. Naomba nitafute mistari mizuri ya wimbo uliobora kusifia pambaja za midomo yako.
Nadhani pambaja ndio lipsi
CC Heaven Sent
Nkamu mimi siwezi kukunyima picha yangu kabisa picha yenyewe napiga bure kabisa nkamu kwa nini nikunyime😅
Lakini kumbukumbu zangu zinaonyesha nimeshaselfika za kutosha hapa na umeziapata live bila chenga