Yaan hilo vazi kajua kupigilia penyewee. [emoji4][emoji4][emoji4]
Watu mnapenda urefuuuu
Umependeza sana, kama naliona wowowoWee kupigilia wapi shos, next time ntavalia kama avonishauri ma mchungaji hapo!
Ndio maana ukisemaga siku nyingne nasikitika sana maana najua itachelewa sana kufikaKumbe hilo ,
Wewe upo busy sana rafiki .
Mdojolela chakula cha nyumbani ehh ?Ni mdojolela au kande? [emoji39][emoji39][emoji39]
Fanya mambo binti AbiudNgoja nifanye mpango wa kuleta yetu
Aisee tutazima server humu jamani😂
Picha ya watuuui. Wamependeza mnooooowaauweeeeehhhhhhhh! Mahaba niteketezeeee ✌️✌️✌️✌️! mmependeza sana!
Ulipendeza dear .
Mmmmmh wee muongo, ni nyie akati mpo vijana bhana lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huoni guu la bia na binti ni mweupe? Ni vile siwezi tu post picha yao full
Kwa kweli yaan, uwiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utafikiri ana kikao na mama Samia
Sasa mama malezi utanifikia mie wee? [emoji23][emoji23][emoji23]Watu mnapenda urefuuuu
Eeeh jipe moyoSasa mama malezi utanifikia mie wee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hunipati hata bhana, utaishia shingoni tyuuh.
Shingo nzuriNgoja nikuwekee leo rafiki
Nimeweka mara nyingi hapa sema unaingia kwa nadra humu .
View attachment 2160228
Nimeshampokonya🥺🥺🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Naomba aliyeshika simu ya mama mchungaji amrudishie tafadhali.........
Wbheja sana TinsleyNgoja nikuwekee leo rafiki
Nimeweka mara nyingi hapa sema unaingia kwa nadra humu .
View attachment 2160228
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu huwa inatokea bahati tyuuh, sio kwamba napendaga hivyo,Ulipendeza dear .
Hakika wewe ni photogenic sio kwa kupenda picha za studio hivi .
Thank you dadaShingo nzuri
Nimewahi hii mie, ahsante kipenziiii [emoji4][emoji4][emoji4][emoji7][emoji7][emoji7]Ngoja nikuwekee leo rafiki
Nimeweka mara nyingi hapa sema unaingia kwa nadra humu .
View attachment 2160228
Afadhali.....Nimeshampokonya🥺🥺