Mpaka wanakutishia hivi seems like umekaa na deni lao sana π€£Hivi hawa jamaa wananichukuliaje ? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2159661
Pole kwa madent ila ndio wanapata ujuzi zaidi hapoπLeo nimefanya kazi kiboss sana
Za kunitoa nje zote nimewapa students wanisaidie.
Jua halijanipata hata π ila sielewi nini shida.. au sina maji mwilini π€£
Pole kikizidi muone daktariLeo nimefanya kazi kiboss sana
Za kunitoa nje zote nimewapa students wanisaidie.
Jua halijanipata hata [emoji19] ila sielewi nini shida.. au sina maji mwilini [emoji1787]
Ukifanikiwa kula hela yake huyoo.. hutoshindwa kula hela ya yoyote ππNiko naendelea kupiga ndogo ndogo Kwa boss lady Lizzy hapa, si unajua mbinu ya kula hela ya Mwanamke ni lazima ujipange π
ππ€ͺ nawakubali, Naipenda sana madent season.. yan uwa natamani isiishe..Pole kwa madent ila ndio wanapata ujuzi zaidi hapoπ
Itakua umepungukiwa maji, jitahidi unywe ya kutosha kabla hujaishiwa ukakauka kama ug...oπ
Usimeze dawa kwanza, anza na tiba ya maji na ule ushibe.
Uzito labda kwenye mizani π₯΄πI can't wait to join you, wewe ni mtu mzito rafiki, kwangu could be bahatiπ
Business proposal nilishaanza kuiandika tangu last year. Ukiihitaji hata next April inapatikana π
Akikukopea naomba niwe chawa wako basi πππKuna mmoja nilimsoma humu aliwahi kumkopea boyfriend ake milioni 20 ya biashara, kwahiyo usinionee wivu boss lady Lizzy akija kunikopea milioni 50 nifanyie biashara.
Badoooo [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee maini hayajazeeka[emoji1787][emoji1787]
Wanawake tuna sehemu yetu special dunianiBadoooo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2159699
Kwa ninavyoijua hela Mchaga haingii ndani, ukisema hata mwezi Ujao nije kufanya presentation yake nipo tayari, najua nitaanza kulipwa advance kabisa πUzito labda kwenye mizani π₯΄π
Next April??? Sasa si tutaanza kazi 2030??π€£π€£π€£
Ahsante TinyPole kikizidi muone daktari
Amen ..Ahsante Tiny
Naimani hakitazidi.
Hahaa niko Lindi nkamu unaweza kujaNkamu nilikwambia useme suuuuu, ukagoma. Si ungekuwa unanipelek beach hivyo?
Digits ngapi hapo niwe motivated mimi??ππ
Ndogo ndogo hizi mbona fresh tu. Kubwa ndo challenge ilipo.... π₯Έπ₯ΈUkifanikiwa kula hela yake huyoo.. hutoshindwa kula hela ya yoyote ππ