Hahaha jamani usinichekeshe mimi [emoji1787]Tobaaa
Hizi rangi za mwanasesere kama watu wa Chitipa Malawi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki.
Naomba namba ya Baba Mchungaji niongee naye. Kuna kitu cha kiroho nataka kumshirikisha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wacha[emoji91][emoji91][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Eeh hapo hadi uidesign vizuri otherwise unakuwa kichekesho .Hata kama ni nzuri
Ndio tuvae mbogamboga kweli??
Seriously mdogo angu? Afu mbona Lavender Haina makelele? Inawafaa sana watu wasiopenda fujo kama weweHahaha jamani usinichekeshe mimi [emoji1787]
Kuna harusi moja hivi karibuni lavender ilikuwa wedding colour aisee nilisema tu siendi ..
Rangi gani hii sasa [emoji23]
Oh yeahInanimulikapo usoni
Hakuwi na Giza sana[emoji16]
Kitambi nimekifinya kwa ndaniWacha[emoji91][emoji91][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Wanyakyusa tuliokosa vitambi
Kasema ongea tu na mimi, ujumbe utamfikiaNaomba namba ya Baba Mchungaji niongee naye. Kuna kitu cha kiroho nataka kumshirikisha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Eti eeh??Kitambi nimekifinya kwa ndani
Nikipate mara ngapi?Eti eeh??
Subiri ukipate
Ulipendeza hapa balaa ..watu na rangi zao
Kitambi nimekifinya kwa ndani
Utadhani wanavuka boda ya Chitipa bwana😂😂😂hiyo hata bure sitakiHahaha jamani usinichekeshe mimi [emoji1787]
Kuna harusi moja hivi karibuni lavender ilikuwa wedding colour aisee nilisema tu siendi ..
Rangi gani hii sasa [emoji23]
Ndiyo maana nakwambia achana na Anne; wewe vaa tu confidentlyUlipendeza hapa balaa ..watu na rangi zao
Those colors are striking
You look ravishing in the photo.
Saint Anne nakusalimiaTuishi na njano
Eeh hapo hadi uidesign vizuri otherwise unakuwa kichekesho .
Lavender imetulia kweli ...Seriously mdogo angu? Afu mbona Lavender Haina makelele? Inawafaa sana watu wasiopenda fujo kama wewe
Mfyuuuuu zakoSijui nimesoma vibaya[emoji1787]
Eti umesema[emoji2089][emoji2089][emoji1787]
Machungwa hoyee [emoji3448][emoji169]Utadhani wanavuka boda ya Chitipa bwana[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo hata bure sitaki
Bora hata machungwa
Lavender imetulia kweli ...
Nilikosa nguo ya kuvaa [emoji28]
Nilitegemea nivae nguo moja hivi siku ilivyofika nikabadilisha mawazo .