Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Kamanda Pep ataifanya hiyo kazi kwa ufanisi wa ajabu. Si ajabu ukarudi tena kuomba tips za kupunguza tumbo. Utaambia nini watu?Nawasubiri mnipe tips za kuongeza tumbo
Kama hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyeupe
Pink na ile njano Fulani hivi ile
MmhPlz nitext dm
Pep kumbe ana kifaa cha kuongezea tumbo na hamsemi!Kamanda Pep ataifanya hiyo kazi kwa ufanisi wa ajabu. Si ajabu ukarudi tena kuomba tips za kupunguza tumbo. Utaambia nini watu?
Tuonane baada ya miaka minne hivi Mungu Akipenda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Alisema mbona 2026Kamanda Pep ataifanya hiyo kazi kwa ufanisi wa ajabu. Si ajabu ukarudi tena kuomba tips za kupunguza tumbo. Utaambia nini watu?
Tuonane baada ya miaka minne hivi Mungu Akipenda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Emerald mbona yenyewe tu; nyuka kitu[emoji1787][emoji1787]Eh kweli za kitajiri maana huwezi kuzivaa ovyo ovyo .
Kwetu huku rangi ya Gold huwa inakuwa rangi ya harusi miaka nenda rudi .
Emerald je
Sijelewa dada , maana ya nyuka .
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]sina bando!!![emoji1][emoji1][emoji1]shemShem usinisahau katika ufalme wako [emoji1545]
Ewaa
Na wewe ni mzungu sana mdogo angu; ivae tuSijelewa dada , maana ya nyuka .
Ndio rangi Gani hiyo?Eh kweli za kitajiri maana huwezi kuzivaa ovyo ovyo .
Kwetu huku rangi ya Gold huwa inakuwa rangi ya harusi miaka nenda rudi .
Emerald je
Watu mna hadi plan za twenti twenti siksi na hamsemi
Hahaha kiswahili hichi
Jiroge tu uzae afu uwe na mwili wa kufutuka utaomba poo mwenyewe mbona!Nawasubiri mnipe tips za kuongeza tumbo
Kwanini hujalala sasa boss ledi wetu jamani??Jiroge tu uzae afu uwe na mwili wa kufutuka utaomba poo mwenyewe mbona!
Hata sijalala tena
Yaani kijani Cha jeshi nichanganye na njano??Muite huyo Anne. Usiombe umix na yellow uuuuuuuuuuuuuuuuhView attachment 2159472
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yellow inanoga mnooo [emoji3577][emoji3577]Muite huyo Anne. Usiombe umix na yellow uuuuuuuuuuuuuuuuhView attachment 2159472
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu kuna boya atajishaua hapa[emoji1787]