Selfika na JF: Snap it. Show it

Jioni Usisahau kuniamsha nikapunguze hiki kitambi kwanza!
Jinsi ya kutengeneza detox ya kijani! .
GREEN DETOX


MAHITAJI
TANGO1
APPLE LA KIJANI 1
MINT LEAVES(MAJANI YA MNAANAA) Fungu moja (vimatawi 10)
Limao 1
Chia seed kijiko 1 cha chakula
Maji litre moja vuguvugu
Tangawizi Mbichi kijiko 1 . .
Saga vyte isipokuwa limao (unakamulia kwa juu) .
.
Kunywa ahsubuh kabla ya kula chochote! Au unawez kunywa kdgo kdgo siku nzima lakn ahsubuh lazma unywe ikiwa vuguvugu
pia kwa wanaopunguza tumbo pekee bila mwili wanaweza kutumia .
.
.By Judith
.
.
Nb
Usichuje

Nimeona nishare na wewe hapa .
 
Aah ya kupunguza tumbo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…