Selfika na JF: Snap it. Show it

Heheheheh shouzzzzzzzz kasema mie nani nipinge sasa? Tusaidiane kuchagua jina.
Au hili
"Le Boss "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa mie tena mbona watakoma.... lazima nihudhurie kwa gharama yoyote ile harusi juu ya ndege ***** !![emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Machungu yanini tena best nani iko kosesha best ake furaha lakini?? Naniiii?????[emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeh uwiiiiih
 
Ngoja nikapake na rangi, nipate na Pete mpya sasa; kila saa najikuna ki-style
Tobaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee
Inabidi sasa tuanze ule mchakato wa Mimi kuvaa Pete.
Manyanyaso yako yatakuwa makali mno.

Sema Mimi kile kidole Cha Pete ni kibayaaa..kina ukucha mpana huwa sikipe ndi.
 
Kweli Tena
Hata nikikaa kwenye siti huku,ile purukushani za ibada za kusimama..najikutaga pekeyangu shingo inaelea kule juu mawinguni
Nikigeuka kushoto na kulia naona watu wananifika kiunoni[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ndiyo napenda hizo hekaheka; Zumaridi kaniharibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah mimi naonaga kama pastor ananikata jicho mwenyewe yaani

Mabenchi flani hivi ya makanisa yetu huku Roman Kkkt na kmt..kuna namna yamekaa yaani mtu anaweza kusimamia kwenye kimbao akainuka kidogo.
Unakuta watu wamsimamia kile kimbao lakini wapi,wanabembea hata begani hawanifikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…